Kuhusu Uhamiaji

SNGAS

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
30
Reaction score
6
Hivi uhamiaji wanataka cheti cha la saba kwa lengo lipi?
 
hiyo nisehemu ya interview usipoweka tu umewapunguzia kazi,
 
kuna matangazo mengine wamesema tuambatanishe leaving certificate na mengine hawajasema kuhusu hilo, hii iko vipi wakuu?
 
sifa wamesema form six we nae unakuja na transcrpt wapi na wapi,kweli ujobless mtaani unasababisha mtindio flan
 
vipi kuhusu transcript, zinakubalika?

from wot i know,hata ukienda kusoma kwenye sehemu ya malalamiko na majibu kwenye website ya ajira kuwa transcript znaruhusiwa ikiwa chuo husika hakijatoa vyeti na kuna sababu muhimu...
 
sifa wamesema form six we nae unakuja na transcrpt wapi na wapi,kweli ujobless mtaani unasababisha mtindio flan

Mbona unawambia mwenzi ana mtindio bana, hujui huo ni unyanyapaa! BTW, soa kuna graduates wanahitajika pia, huenda wewe haikuhusu ndiyo maana haukuisoma!
 
from wot i know,hata ukienda kusoma kwenye sehemu ya malalamiko na majibu kwenye website ya ajira kuwa transcript znaruhusiwa ikiwa chuo husika hakijatoa vyeti na kuna sababu muhimu...

Asante mkuu, Chuo nilichosoma mpaka leo vyeti havijatoka.. nadhani niko safe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…