Kuepuka gharama bora likae hadi october
Demokrasia ina gharama zake. Km sheria inataka uchaguzi ufanyike basi utafanyika bila kujali gharama au kilimo.
Demokrasia ina gharama zake. Km sheria inataka uchaguzi ufanyike basi utafanyika bila kujali gharama au kilimo.
Usisahau pia mwezi wa kesho zitto anajiuzulu ubunge wakeDemokrasia ina gharama zake. Km sheria inataka uchaguzi ufanyike basi utafanyika bila kujali gharama au kilimo.
hamjambo wa jf
poleni na msiba wa mh Komba
naoliza tu kwa mujibu wa sheria baada ya siku 90 tume inapaswa itangaze taratibu za kupata mwakilishi kwenye jimbo husika
je hilo jimbo litakaa tu bila mwakilishi hadi October kwenyd uchaguzi mkuu au watatangaza uchaguzi?
Nashauri ili kupunguza gharama za uendeshaji chaguzi inabidi yule kijana wake ambaye ni Chadema amrithi baba yake
Hakuna uchaguzi someni ibara ya 76 (3) ya katiba.ya jamjamhuri ya muungano mwaka 77
Hakuna uchaguzi someni ibara ya 76 (3) ya katiba.ya jamjamhuri ya muungano mwaka 77
Pia wasome ibara ya 37 (wanaweza kusoma vifungu vyote) sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010(Cap 343 R.E.2010). Hakuna uchaguzi hapo mpaka mwezi Wa 10 kwenye uchaguzi Mkuu!
Subirini tuzike kwanza ndio muanzishe haya mambo
R.I.D (Rest in Destruction) Komba.