Kuhusu tatizo la line za tigo kushindwa kushika mtandao

WIMICKY

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
1,428
1,571
Habari..
Kumekuwa na tabia au tatizo la Line za Tigo kushondwa kushika mtandao na hilo tatizo halitatuliki mpaka uende kwenye ofisi za tigo na ufanyiwe swap
Mbaya zaidi ndo upo bize na shughuli zako ina boooooaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom