Nahitaji kwa ajili ya kujenga......hawafai eeh!!Take my word..huko kwenye micro finance i.e finca,seda,pride etc...kama unakopa kwa ajili ya kujenga,kununua gari,kusomesha and the like..utakuja lia mkuu..
Kama kwa ajili ya biashara hapo poa.
Siku hizi NMB hawatoi mkopo hata kama una akaunti nao, mpaka mshahara upitie kwao...Kama salary yako haipiti NMB Unaweza fungua akaunti nmb then,unalambia mkopo huko huko na inakuwa extra acc.no..Wala haina complication,Mi nlishawai fanya ivyo.Bt Hizi taasis nyngne ni zaidi ya vimeo.Ukifanya mamuzi hayo utatamani uache kazi esp.BAYPORT.Ukizidiwa Sana nenda Faidika ndo angalau kiaina.
Na hata kukopa pesa kwenye hizo taasisi kwa biashara pia uwe makini kwani kama ni biashara inayosuasua(ambayo hailipi vizuri) usidhubutu maana riba yao ni zaidi ya 60%.Take my word..huko kwenye micro finance i.e finca,seda,pride etc...kama unakopa kwa ajili ya kujenga,kununua gari,kusomesha and the like..utakuja lia mkuu..
Kama kwa ajili ya biashara hapo poa.
Na hata kukopa pesa kwenye hizo taasisi kwa biashara pia uwe makini kwani kama ni biashara inayosuasua(ambayo hailipi vizuri) usidhubutu maana riba yao ni zaidi ya 60%.
Dont try this. Hayo mashirika ogopa kabisa. Kiasi unachokopa mara 6 uko tayari? Afu wanakata tofauti na makubaliano. Utalia
Na hata kukopa pesa kwenye hizo taasisi kwa biashara pia uwe makini kwani kama ni biashara inayosuasua(ambayo hailipi vizuri) usidhubutu maana riba yao ni zaidi ya 60%.
Kwa Tanzania suala la mikopo bado tuko nyuma sana. Hata bank zetu zinatoza interest kubwa sana. Nashangaa serikali haijuhi umuhimu wa mikopo katika maendeleo ya nchi. Nchi zote zilizoendelea na makampuni makubwa yanafanya biashara kwa mikopo