nashukuru mkuu sasa nikishabadili mfumo wa gari yangu .....je vituo vya kujazia gas viko wapi??Nenda BICO University of Dar es Salaam katika garage yao inaitwa BICO Garage opposite na jengo la Mama lishe, wanatoa hiyo huduma ya kubadili mfumo wa gari kutumia gas. BICO ni authorized agent wa TPDC kwa shughuli hiyo.
Mkuu ngereja inaonekana una ufahamu sana na haya mambo.So far, ni magari yenye kutumia petrol ndo yanaweza kubadilishwa. Kinachofanyika ni kwamba unaongezwa mfumo mwingine wa kutumia gas. Mfumo wa petrol unabaki kama kawaida na utaendelea kufanya kazi bila kuathiriwa. Kinachotokea ni kwamba ukishawekewa mfumo wa gas, kuna kuwa na switch nadhani kwenye dashboard, gas/petrol. Kwa hiyo unakuwa na gas na petrol kwa pamoja. gas ikiisha una-switch kwenye petrol and vice versa. Kwa maelezo zaidi waone TPDC au fika BICO UDSM utapata melezo yote na gharama za kubadilisha mfumo.
Mkuu ngereja inaonekana una ufahamu sana na haya mambo.
Je kuna maadhara yoyote katika kubadilisha mfumo kwenye gari? Na je ni kwa nini serikali haifanyi uhamasishaji kwa wananchi ili kuweza kupunguza hela tunazopeleka nje kwa ajili ya kununua petroleum oil?
Pia nadhani watanzania wanahitaji somo ili waweze kuagiza magari yanayotumia gas moja kwa moja kutoka nje.
Naomba uniambie jina la gas inayotumika hapa kwetu maana sipo karibu na dar es salaam.....nadhani kuna majina specif za hizi gas ili kama mtu unanunua gari ujue unahitaji gari linalotumia gas ya aina gani?
THANK YOU.
Miss Judith usitarajie hayo maana kila shughuli itakayofanyika tanzania....viongozi badala ya kuweka maslahi ya nchi mbele wanaweka 10% mbele kwanza na kwa bahati mbaya viongozi wa tz hua wanakula 90% badala ya 10%.yah, hata mimi wasiwasi wangu ni kwa nini serikali haihamasishi kubadilisha magari ili yanze kutumia gesi. nakumbuka nilimwona yona kilagane wa tpdc kama mara moja tu hivi kwenye TV akihamasisha na wakat huo ilikuwa ni maandalizi, walipozindua rasmi sijamsikia tena
nashukuru mkuu sasa nikishabadili mfumo wa gari yangu .....je vituo vya kujazia gas viko wapi??
yah, hata mimi wasiwasi wangu ni kwa nini serikali haihamasishi kubadilisha magari ili yanze kutumia gesi. nakumbuka nilimwona yona kilagane wa tpdc kama mara moja tu hivi kwenye TV akihamasisha na wakat huo ilikuwa ni maandalizi, walipozindua rasmi sijamsikia tena
Jamani wana JF naomba michango yenu kuhusu ule ubadilishaji wa magari kutoka mfumo wa kutumia petroleum fuel kwenda kwenye gas uliokua unafanywa na TPDC umefikia wapi?
Kama kuna mtu mwenye taarifa kamili tunaomba atuelimishe.
My concerns.
Matumizi ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje 60% ya matumizi yote hua inatumika kuagiza mafuta mazito ya kuendesha mitambo ikiwa ni pamoja na petrol kwa magari.
JE SERIKALI SASA HAIONI WAKATI UMEFIKA WA KUJIKOMBOA KWA KUTUMIA GAS YETU?