Kuhusu social media administrator

Old Skuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
690
Reaction score
178
Habarini,
Nilitaka kufahamishwa kuhusu hawa watu.Makampuni mengi siku hizi yanahitaji hawa watu kwa ajili ya kukuza wigo wa biashara zao ukizingatia social media ndo sehemu ambapo watu wengi wanapatikana kwa urahisi na cheap pia.
Nataka kufahamu haya:
1.Je,huu anakuwa employed independently km kazi yake au ni mtu na profession flani halafu hii inakuwa kama ziada?
2.Vipi kuhusu range za mishahara?.Tuongelee average sababu malipo yanaeza kuwa tofauti kulingana na size of the company.

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…