Kuhusu Simu za Startimes Solar 5, naomba msaada

Kuhusu Simu za Startimes Solar 5, naomba msaada

ng'wandu

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
333
Reaction score
105
Kama kuna mtu yeyote ambaye ametumia simu za startimes solar 5 naomba anipatie maelezo kidogo kuhusu ubora wake. Nimeziona zinauzwa vodacom shop Mlimani city kwa 270,000
 
Gugo zipo. Imeanzia Nigeria then Kenya. Ninatumia p40
 
kiukweli ni simu mzuri,inapiga mzigo vizuri,ila natumia startimes p40,hiki kisimu kidogo,lakini hodari,PDF file zinafunguka bila shida,naamini hiyo kubwa itakua zaid
 
kama ni mtu wa kuinstall program nyingi kwenye simu hii phone haitakufaa, nimeona jamaa angu analalamika memory ya app ni ndogo
 
Ni simu nzuri tatzo internal memory yake ni ndogo
 
ila ni nzur sema memory yake ni ndogo sana cjajua kuhusu RAM na processor yake pia ufanisi wake hasa katika kutunza betrii :crying::crying::crying:
 
Nimesikia StarTimes wanauza Solar za mikopo zenye taa nne na TV ya 24" wanauza kwa malipo ya awali ya 125,000/= ,Nani aliyewahi kununua hizo nataka nimfungie Shamba Boy kiwangwa naye aselebuke.
 
Back
Top Bottom