Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,siku moja katika pita pita zangu kwenye mtandao nilikutana na tangazo katika tovuti ya wizara ya elimu kuhusu nafasi za kwenda kusoma nchini Uingereza, Masters na PhD ambazo zinazaminiwa na Jumuiya ya Madola kama 'Full Sponsership'
Baada ya kusoma vigezo na masharti nilibaini na mimi nina sifa za kuomba hiyo fursa ya kipekee, nilianza mchakato wa kuomba kwa upande wa Masters ambapo deadline wamesema ni tarehe 15 Novomba mwaka huu, ila sasa nimekwama kwenye kipengele kinachonitaka niambatanishe mrejesho wa barua kutoka chuoni Uingereza ikielezea kwamba nimepatiwa nafasi pia nitaje na msimamizi atakaye simamia research yangu,
hapo nimezidi kuchanganyikiwa mi nipo bongo hapa hivyo barua ya Chuo husika ntatoa wapi? Kwahiyo kuna utaratibu wa kuomba we mwenyewe kwanza na pia ukapata msimamizi wa research yako hata kabla ya kupata hiyo sponsorship?
Mwenye utaalamu zaidi na mzoefu wa hiyo ishu anipe maelekezo ya kina niweze fanikiwa japo kuomba, natamani sana nikimbie bongo kwanza nikaende ugaibuni huko nione watu wanaishije pia niongeze elimu na kujua kuongea kingereza kwa ufasaha.Nitashukuru endapo ntaweza pata ushauri yakinifu.
Nawasilisha.