Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,330
Lakini wapo watu nyuma yao ambao wanajifichaPolisi ni kikosi cha Rushwa na kubambikia watu kesi.
Sitetei hila najaribu kusema kuwa kun watu wapo nyuma yao lakini pia sio poloce peke yaoKwa hiyo unatetea rushwa siyo, kwa hao polisi? Au una maana gani!
Duh, mzee baba!Salam
Kume kuwa na malalamiko mengi kuhusu rushwa kwa polisi kwamba wanaomba rushwa sana kuliko kawaida
Mimi nataka kuwa ambia sababu za moja kuu inayo wapelekea wao waombe rushwa
Nuture ya kazi yao inawakutanisha na client wao kwa kiasi kukubwa na ukitaka kujua hilo angalia taasisi za serikali zote ambazo zina kutana na wateja wao direct huone kama hawatengenezi mazingira ya rushwa
Mfano wakati nafika dsm kwa mara ya kwaza nilipata kazi kupitia jf hii ikataka nipeleke barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wa mtaa wangu nilipo fika pale mimi najuaga barua ya utambulisho bure
Nilipo fika pale akaniambia toa kopi nikatoa nilipo ludi akajaza akasema pesa ya muhuri nikamuuliza muhuri upi uho tena akasema ni lazima utoe 5000 ndio upate barua nikagoma nikasema ngoja nimpigie mtu anipe maelekezo akasema chukua hiyo hapo
Nini nachotaka kusema ni kuwa rushwa hipo sana na sio hao polisi peke yao wanao kula rushwa njoo TRA, NSSF,SERIKALIZAMITAA, HOSPITAL, na fika BANK maafisa mikopo
Huwezi kukuta mwanajeshi wa JWTZ anaomba rushwa na sababu ya wao kuwa na mishaara mizuri ni kuwa wanaingiza pesa ndefu sana serikalini kuliko wizara yoyote wale wanajeshi mnao waona nje ya nchi ni moja ya mapato ya serikali
Wanajeshi awakutani na mazingira ya kula rushwa.Salam

Nini mkuuDuh, mzee baba!
Sijasema wanajeshin wanakula rushwa pleas nieleweWanajeshi awakutani na mazingira ya kula rushwa.
Fata utaratibu tii sheria kama pesa yako inakuumaTatizo njaa plus ujinga.
Pia hatuna teknolojia inayofanya mambo yawe wazi. Polisi hawavai body cams, hiyo ingelazimisha polisi wawe alert wanayofanya wakati wa saa za kazi yanaonekana.
Hiyo ndiyo jibu kama tunataka kuzuia rushwa au ujinga ujinga mwingine wa polisi wanapokuwa kwenye majukumu yao.
Aa hapo nimekueleaHata utaratibu tii sheria kama pesa yako inakuuma
Nature ya Kazi yao sio watoa huduma,kama utoi huduma unapishana na rushwa,asante au tipu.Sijasema wanajeshin wanakula rushwa pleas nielewe
AhahahaNature ya Kazi yao sio watoa huduma,kama utoi huduma unapishana na rushwa,asante au tipu.
Hapo ukiwa na mkono wa bilika unapelekwa polisTii sheria bila shuruti kama mkono wako ni wa birika.
Police hawana shida na mtu mstaarabu anaishi nao vizuri tu.Hapo ukiwa na mkono wa bilika unapelekwa polis