tunu ngajilo
Member
- Jan 9, 2013
- 9
- 0
So ni mda mlefu nimekuwa nikicheki wabongo ambao wanajishugulisha na robotics na microcontroller programming kama mpo.
Fresh tushtuane.
Fresh tushtuane.
so n mda mlefu nimekuwa nikicheki wabongo ambao wanajishugulisha na robotics na microcontroller programming kama mpo.fresh tushtuane
Mkuu mi na-deal na PIC microcontrollers kama hobby kwa projects mbalimbali.so n mda mlefu nimekuwa nikicheki wabongo ambao wanajishugulisha na robotics na microcontroller programming kama mpo.fresh tushtuane
Mkuu mi na-deal na PIC microcontrollers kama hobby kwa projects mbalimbali.
yan mimi ndo nilikuwa natafuta sana iyo kitu kwa mtu anayewezea sana, kwan nmetengeneza musik system na nilipanga niunde wa digital, sasa nkakwama hapo kwa micro controler, jins ya kuziburn na aina ya microcontroller.
Mkuu,umeshafanya coding ya program ya kukupa firmware tayari au la? Kama ni tayari,tatizo ni 8052 MCU na programmer pekee, ingia www.tmt-tz.comnataka digital signal and control kwa ujumla. Pia ninayo 8051 mcu ila nilipenda 8052 family
Mkuu,umeshafanya coding ya program ya kukupa firmware tayari au la? Kama ni tayari,tatizo ni 8052 MCU na programmer pekee, ingia hapa
yan hata sijafanya coding kwasababu bado sijajua kuweka code
nataka digital signal and control kwa ujumla. Pia ninayo 8051 mcu ila nilipenda 8052 family
Nasikitika umechagua option ngumu sana,maana Digital signal processing and control inahusisha mambo mengi.
Kwa upande wa signal processing inabidi ubadili analog signal kwenye stage ya input ziwe digital kwa kutumia ADC ndo ufanye digital processing stages zingine na control, display halafu baadaye utumie DAC kubadili digital signal ziwe analog kwa ajili ya power amplification ili kupata signal zenye nguvu ku-drive spika. Ni kazi ngumu sana kwa Embedded Systems newbie,
maana coding yake itakuwa complex na itahusisha devices nyingi sana.
Unafuu uko kwenye Analog Signal Digital Control, maana hapo unatumia digital system ku-control analog signal zinazoenda kwenye power amplifier. Lakini bado itakuwa ngumu iwapo utaweka complex digital control system.
mkuu , hapo nmekuelewa, ila mimi nilijua ni simple sana, na nikatumia Pt2313 kubadilisha analogy signal to digital . Kwaiyo ikawa bado mcu peke yake, ila kwa ulivosema itabd nifanye ivo
mkuu mimi sio mzima sana ktk kujua aina za buton, lakin ngoja nijaribu kutafuta mcu ambayo haijawekewa fuse cod
mkuu mimi sio mzima sana ktk kujua aina za buton, lakin ngoja nijaribu kutafuta mcu ambayo haijawekewa fuse cod
Namaanisha system iwe na VOL+ na VOL- tu au zaidi ya hizo? Kama ni zaidi zitaje
vol+, vol-, next, preveous, repeat, stop.play, mute, treble na bass, na function ambayo itakuwa ya kuchange kwenda input, radio na usb
mkuu ndo maana mie nilichukua sub woofer ya mchina ambayo ipo coded then nkaikata ile pcb yake, afu nkaijaribu kuweka ktk pcb yangu. Na ilikubal , sasa nkajua kuunda yangu itakuwa rahis kumbe ni very complex ivo, ntajifunza iyo ya analogy.