Ninavyoelewa mimi hizi kozi zilikuwa zinatolewa kwa wanaotaka kufanya masters lakini hawakuwa na vigezo au brush ili kuwarudishia mind set ya shule. Zote postgraduate certificate na postgraduate diploma, vilevile ilikuwa ni cross train yani mtu wataaluma tofauti apate elimu/ idea nyingine nje ya ile aliyokuwa nayo.
Mtizamo wangu kwa hili.