Kuhusu posho za polisi Tanzania

huo mshahara kila mwezi,baada ya makato askari polisi anachukua kama laki na 140 hivi.posho mpaka makusanyo yatimie.
Mkuu si Kuna posho zile lak 3 kwa mwez na vinywaj ila Kuna jamaa anasem Mara haziingizw hiv ni kwelo?
 
Mkuu si Kuna posho zile lak 3 kwa mwez na vinywaj ila Kuna jamaa anasem Mara haziingizw hiv ni kwelo?
ndio nakwambia hapa,niamini mimi.hakuna cha laki tatu wala nini ujanja ujanja tu.
 
laana kweli kweli sio masihara.
wewe fikiria mtu kama mroto na mikwara ile eti anapokea laki 7 kweli jaman!!!
Na bado wanaipambania CCM ibaki madarakani ambayo imekataa kuwaongezea mishahara

Naanza kuelewa kwa nini CCM inawaajiri waliofeli form 4 kuwa mapolisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…