Kuhusu plate number za "SSH25 30"

MR BINGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
1,208
Reaction score
2,591
Kwenye mkoa ninaoishi nimeona utitiri wa gari zenye plate number za "SSH 25 30"
Nimekuwa na maswali kadhaa ninayojiuliza kuhusu usajili huu wa magari

1.Je magari yote haya yamelipiwa private plate number za "SSH 25 30"

2.Kama yamesajiliwa kwa usajili huo ni kipi kinachoyatofautisha maana tumezoea usajili wa number binafsi hata kama ni ya mtu mmoja huwa kuna namna inayatofautisha let's say MR BINGO akisajili gari zake jina binafsi huwa tunaona kuna " Bingo 1"’,"'Bingo 2" ,"Bingo 3" n.k

3.kama hayajasajiliwa kwenye mfumo wa serikali hatuoni uhatari wa magari haya kutumika kwenye uhalifu na uvunjifu wa sheria barabarani kwa sababu yanakuwa na false identity

Naombeni majibu wataalamu wa mambo
 
Tumeichagua wenyewe.......!!! Sasa tunalia nayo CCM mbele kwa mbele
 
Tanzania kwa sasa inaongozwa na wacheza singeli. Watu wamejipanga mpaka 2030 watakuwa wameshafanikisha mambo yao mengi meusi mpaka anaondoka
 
Fikiria mtu hajawahi kuwaza kuwa ipo siku atajakuwa rais na wala hajawahi kuiwania nafasi hiyo. Anaamka siku moja ghafla anjikuta ni rais! Hata hapo alipofikia amejitahidi sana.
 
Kwa anaejua hizi gari zenye plate number SSH 25-30 zinawekwa kwa utaratibu gani.. nimeziona nyingi sana dodoma

Je zinalipiwa au inakuwaje
 
Rais hana nguvu tena ni vile watu wameamua kuishi watakavyo
 
Ila Hata kama tunafanya vtu kinyume basi yale yanayowezekana Tufiche , kweli usajili unakuwa false katik jicho la wazi sasa kwa undan nn kinaweza kuwa Huku Nchin Kenya kijj cha Tanga Na Nyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…