Kuhusu picha za usajili wa NECTA

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,371
Reaction score
1,865
Wadau naomba kujua ni software gani nzuri inayoweza kuweka vipimo vya picha za photo Entry. Yan upana 132, urefu, 185 na resolution ya 72.

Ikipatikana inayoweza kuprocess picha zaidi ya moja kwa wakati mmoja itakuwa nzuri zaidi.
 
1. Kama umepata dili na utengeze picha zenye uhalisia.
2. Si mnatunisha watoto wa watu mashavu, mnawapaka piko kichwa kizima. Mpaka sura inapotea.
 
Ukijua jinsi ya kushika kamera na kucrop vzr Hilo tatizo huwez lipata
 
Kwa sasa necta wana application ambayo itatumika kwa ajili ya kupiga picha za usajil wa necta ,wanaohusika na upigaji picha ni walim katika kila Shule mkoan kwetu wameshapewa mafunzo ya upigaji picha kwa kutumia simu
 
Mkoa gan huo? Ina maana kila shule inapewa simu?
 
Kwa sasa necta wana application ambayo itatumika kwa ajili ya kupiga picha za usajil wa necta ,wanaohusika na upigaji picha ni walim katika kila Shule mkoan kwetu wameshapewa mafunzo ya upigaji picha kwa kutumia simu
hiyo app inaitwaje tunaomba utufahamishe
 
1. Kama umepata dili na utengeze picha zenye uhalisia.
2. Si mnatunisha watoto wa watu mashavu, mnawapaka piko kichwa kizima. Mpaka sura inapotea.
Sina hamu na picha ya kweny chet changu cha form four[emoji23][emoji23]ni kama nilishambuliwa na nyuki
 
Hahah kuna mahali 2017 nilishawafanyia hii kazi ndani ya masaa machache, nilitengeneza program pale pale.

Anyway, siku hizi kuna kampuni imetengeneza hiyo program na imeshatoa semina kwenye baadhi ya mikoa kama Dar es Salaam kuhusu namna ya kuitumia.

Nimeiona kwenye shule moja. Nimesahau website yao lakini ulizia kwenye shule za Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…