Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Watu wanachukua ngoma ina UKIMWI nini kuwa changu. Ukipenda chongo utaona kengeza.Hakuwa anampenda kwa dhati ndiyo maana kamuacha! Kama hakumkuta na nylon basi ni lazima aliwahi kuduu...sasa alitaka aambiwe kuwa hajawahi kuwa na mtu wakati nylon hakuna? Wanawake wengi wanajiuza japo wengine hawakai barabarani ila wapo kibiashara zaidi!!! Aendelee naye tu...atamuacha huyo, ataenda kuinunua ya mwingine!!!
Kwa kwel kuropoka kunaponzaHuyo binti nae ni fala,kuna vitu vingine si vya kuropoka.
Sidhani kama aliropoka, baada ya miaka miwili kumfahamu jamaa alidhani anamjua na alimwamini 100%.Huyo binti nae ni fala,kuna vitu vingine si vya kuropoka.
KABISAkuongelea past me naona haina umuhimu
KABISA. Kama mmepima na hakuna mwenye ngoma, safari inaanza hapo.Hakuna sababu za kuulizana past katika mahusiano
Ndio mwisho mnachukuaga kurumbembe (sex maniac) haliridhiki na K/M moja. Ni vizuri sana kujua kuhusu mume/mke mtarajiwa.KABISA. Kama mmepima na hakuna mwenye ngoma, safari inaanza hapo.
Lakini si kwa miaka minne.Ndio mwisho mnachukuaga kurumbembe (sex maniac) haliridhiki na K/M moja. Ni vizuri sana kujua kuhusu mume/mke mtarajiwa.