Kuhusu mkopo

King More

Senior Member
Joined
Feb 1, 2016
Posts
102
Reaction score
54
Dogo kapata mkopo 100% akiwa tayari amelipa ada nusu. Je, atarudishiwa hiyo pesa au itakuwaje?
 
Huwa hairudi wanakata matumizi mengine ambayo pesa unatakiwa ulipe moja kwa moja ambayo Bodi ya Mikopo haiwahusu.
 
daaah!! sasa kama alikuwa anauwezo wa kulipa ada kwann aliomba mkopo sasa?? yaani huu ni ujinga wakupitiliza muda wenyewe wa chuoni unapewa hata week 3 za kufanya usajili maana na wenyewe wanafahamu bodi huwa inachelewesha majina!!

hawa ndo wale hata darasani walikuwa vihereheheheheehhe yaani mwalimu hajamaliza kuuliza swali wenyewe wameshanyoosha mkono juu!! ngoja akapambane sasa na hiyo pesa kuirudusha na hupewi cash mkononi hiyo pesa!!
Dogo kapata mkopo 100% akiwa tayari amelipa ada nusu. Je, atarudishiwa hiyo pesa au itakuwaje?
 
Hivo vyuo vipo kibiashara so kurudisha pesa mkononi Ni uongo ,wataiingiza hiyo pesa kwenye matumizi mengine ambayo mwanafunzi anatakiwa alipie .
Ila mbona kawahi kulipa hiyo ada wakati alikua anajua Kuwa kuna second batch?
 
Huo ni uendawazi unalipa ada yote ya nn wkt umeomba mkopo.
Hivo vyuo vipo kibiashara so kurudisha pesa mkononi Ni uongo ,wataiingiza hiyo pesa kwenye matumizi mengine ambayo mwanafunzi anatakiwa alipie .
Ila mbona kawahi kulipa hiyo ada wakati alikua anajua Kuwa kuna second batch?
 
sasa 100% wamekupa ya nn kumbe uwezo wa kulipa ada unawo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dogo kapata mkopo 100% akiwa tayari amelipa ada nusu. Je, atarudishiwa hiyo pesa au itakuwaje?
Sasa kapewa mkopo wa nn wakati inaonekana anaweza kujilipia ada,
Ukiweza kujilipia ada , achana na mkopo ni usumbufu wa badae
 
Dogo kapata mkopo 100% akiwa tayari amelipa ada nusu. Je, atarudishiwa hiyo pesa au itakuwaje?
Mkuu iyo ada inarudi, lakini si kwa sasa. Atarudishiwa baada ya kusaini ada ya semester ya pili ambapo kutaonekana na excess amount. Atatakiwa kwenda kwa muhasibu wa chuo na kupewa utaratibu wa kurudishiwa pesa yake au wafanyie reallocation kwa mwaka unaofata. Ila reallocation au refund ya pesa kwa sasa haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…