Kuhusu mkopo

ommy clear

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
214
Reaction score
58
Sorry naomba kuuliza kuhusu mkopo wa elimu ya juu, kwamba itakuaje kama utaomba mkopo then ukaomba chuo then ukashindwa kuomba chuo katika round ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali ukaja kuomba round ya pili haiwez kuleta shida kwenye upande wa mkopo ? Kwa maana ya kwamba majina ya round ya kwanza ya waliochaguliw chuo yatapelekwa bodi alafu wewe lakwako halipo na mkopo umeomba means jina lako litawekwa pembeni kusubiri round ya pili ya majina ya watakaochaguliwa chuo round ya pili? Au ndo inakuaje apo????
 
KAMA UMETIMIZA VIGEZO VYOTE, BODI YA MIKOPO SIO WACHOYO MKUU..
 
Kuna Batch mpaka Nane. Mm nilipata selection round ya 3, mkopo nikapata batch ya 4. Kamilisha taratibu zote then sikilizia. Una nafasi mpaka ya kukata rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…