ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Jun 7, 2019 #1 Sorry naomba kueleweshwa kidogo juu ya suala la ku-apply mkopo, swali langu liko kwa upande wa wale ambayo wanahitimu diploma mwaka huu je wanafanya kufanya loan application kabla matokeo yao ya diploma hayajatoka? Kwa yeyote anayejua msaada p'se
Sorry naomba kueleweshwa kidogo juu ya suala la ku-apply mkopo, swali langu liko kwa upande wa wale ambayo wanahitimu diploma mwaka huu je wanafanya kufanya loan application kabla matokeo yao ya diploma hayajatoka? Kwa yeyote anayejua msaada p'se