Kuhusu mkopo wa nmb

Kuhusu mkopo wa nmb

kvcm

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
10
Reaction score
9
Naombeni anayeweza kunisaidia afanye ivo, Mimi ni mjasiriali kwa kweli angalau matokeo nayaona , lakin sasa natamani nichukue mkopo ili niweze kujitanua zaidi .
. biashara ina documents zote, tin, leseni , brela , tax cleaarence na parmanent office , pia nina nyumba ipo hatua ya finishing , inapigwa plasta saiv japo bajet ipo hadi ya wiring , skimming na celling , kwa miezi sita iliyopita nimefanya miamala ya kama mil 45 , , , nataka nichukue mkopo wa mil 30 je naweza kupata !?? [Nyumba thaman ya kama mil 22 had saiv ] .
.
Asanteni
Screenshot_20220121-201745.jpg
 
Nenda Nmb idara ya mikopo ukitimiza vigezo ndani ya siku 6 wanakupa mzigo.wanachoangalia sana biashara yako
 
Nawapataje
Ingia kwenye search hapo juu, halafu andika "NMB special thread", inakuja unaandika shida yako, kisha utajibiwa.Lkn ikiwa upo karibu na tawi la NMB ni vizuri kuwatembelea.
 
Naombeni anayeweza kunisaidia afanye ivo, Mimi ni mjasiriali kwa kweli angalau matokeo nayaona , lakin sasa natamani nichukue mkopo ili niweze kujitanua zaidi .
. biashara ina documents zote, tin, leseni , brela , tax cleaarence na parmanent office , pia nina nyumba ipo hatua ya finishing , inapigwa plasta saiv japo bajet ipo hadi ya wiring , skimming na celling , kwa miezi sita iliyopita nimefanya miamala ya kama mil 45 , , , nataka nichukue mkopo wa mil 30 je naweza kupata !?? [Nyumba thaman ya kama mil 22 had saiv ] .
.
Asanteni View attachment 2095715

Nahisi NMB ni moja ya benki inayosapoti sana wafanyabiashara hasa wadogo nimeona hilo kwenye tamasha moja wakitangaza nyumba ikifika usawa wa renter inakuwa dhamana yako haiitaji kuisha. Nahisi kama vyote unavyo ni veyema kuwatembelea kwenye tawi lao lolote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom