vanvedy Member Joined Sep 15, 2014 Posts 20 Reaction score 1 Mar 16, 2015 #1 Hiv Jamani Wakubwa Inakuaje Kuhusu Fununu Za Ku-apply Mikopo Kwa Mwaka 2015?
casbias Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 199 Reaction score 25 Mar 16, 2015 #2 Hilo nalo neno la umuhimu kweri kweri.
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 Mar 16, 2015 #3 duh hata mitihani hamjaanza mshawaza ku apply mikopo...
L lukubuzo Samsis JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 2,947 Reaction score 3,465 Mar 16, 2015 #4 casbias said: Hilo nalo neno la umuhimu kweri kweri. Click to expand... kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you
casbias said: Hilo nalo neno la umuhimu kweri kweri. Click to expand... kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,519 Reaction score 171,165 Mar 16, 2015 #5 lukubuzo Samsis said: kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you Click to expand... ha ha ha form six hiyo daadeki
lukubuzo Samsis said: kwa uandishi huu na wewe unaomba mkopo shame on you Click to expand... ha ha ha form six hiyo daadeki
M mamanzara JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 651 Reaction score 196 Mar 17, 2015 #6 Mwenye kujua tafadhali atujuze.
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,685 Mar 19, 2015 #8 Tembelea website yao ndo inatoa majibu haya