Kuhusu Mgombea mwenza wa UKAWA

Mimi Hupata Taarifa Zake Kwenye Tanzania Daima Daily,mzee Yupo Vizuri Team Yake Yumo Pia Kamanda Cecillia Pareso
 

Kwenda huko! magazeti yote yamenunuliwa na Lowasa unajifanya hujui!? unaposema eti magazeti hayaripoti vizuri habari za ukawa ulitaka waandike hata ambayo hayapo! Lowasa out...!
 
Wewe kijana ni mfano halisi wa nini maana ya CCM ya kizazi kipya...

Sijui mna matatizo gani ninyi...

Wanaohoji kuhusu UKIMYA wa Juma Duni ni wana UKAWA wenzenu. Sasa sijui hizi porojo mnazitoa wapi
 
Sasa wewe kwa nini usipige picha ukaonyesha hapa,hivi kwa hii dunia ilivyo sasa kama kijiji tungeshindwa jua kweli?Acha ulofa!we tuambie tu kama karudi zake kibanda mait kula urojo
 
Ni chadema wenyewe wasiotaka kumpa air time Duni maana hakuna anachokiongea kutoa upuuzi wa ndembendembe ambao kwasasa unawachocha watu
 
Kwenda huko! magazeti yote yamenunuliwa na Lowasa unajifanya hujui!? unaposema eti magazeti hayaripoti vizuri habari za ukawa ulitaka waandike hata ambayo hayapo! Lowasa out...!
Punguza mihemko kwanza mkuu tuelewane! Nijuavyo Mimi hakuna magazeti yaliyonunuliwa ispokua yanaripoti matukio kwa kufuta misingi ya kiuandishi, magazeti hayo ni Mwananchi,Nipashe,Majira,Tanzania Daima,Mtanzania na RAI. Haya mengine hasa Yale ya serikali kama Habari Leo na Daily news siwezi kuyasemea sana maana ukweli unao! Hivi Magazeti kama Raia mwema na Dira ya Mtanzania sikuamini kama yangefikia kutumia mpaka aibu.
 

Hayo ulioyataja mwanzo ndio yaliyomo kwenye pay role ya ukawa,na hilo la raia mwema sijui limestuka nini maana nalo mwanzoni lilikuwa hivyo hivyo. Unaposema eti Tanzania daima nalo ni gazeti? hicho kijarida cha kampeni cha Mbowe.
 
Jamaa sio lofa yulee,alishastuka mapema akajitoa!!
 

Hii ni sawa na taarifa kuwa Slaa yuko likizo. Hawa watu hawajifunzi kila siku wanadanganywa...
 
Kwenda huko! magazeti yote yamenunuliwa na Lowasa unajifanya hujui!? unaposema eti magazeti hayaripoti vizuri habari za ukawa ulitaka waandike hata ambayo hayapo! Lowasa out...!

haa haa mkuu mpaka lile gazeti la udaku la uhuru na jambo leo?
 

Mjinga ni wewe unaekurupuka na kujibu hoja pasipo kufanya utafiti..
 
Amenunuliwa Yote Na Mh. Lowassa!! Duuuhh! Tehe! Tehe! Tehe!! Njaa Mbaya Mno, Haya Hivi Kweli Mh. ANAWEZA Kununua Magazeti Yote Ya TANZANIA?? Je, UHURU, RAIA MWEMA, JAMBO LEO, HABARI LEO NA ZANZIBAR LEO Yamo Pia, Ktk ORODHA Hiyo!!!???
 

Wacha kukurupuka wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…