Pole sana mkuudah na kwangu pia imeandika hivyo "Did not apply for Higher Education Student's Loan for 2016/17 Academic Year"
Pole sana mkuudah na kwangu pia imeandika hivyo "Did not apply for Higher Education Student's Loan for 2016/17 Academic Year"
[emoji12] [emoji12] [emoji12] vmb vya jero vyaweza kuuwaPole sana mkuu
Mwaka huu tutanyooka tuu
Nyie mnaonekana mnajua kuchokonoa sana ngoj mpate presha majina ya waliopata yatatoka ndo utaratib sasa kam vi mb vya jero vinawasumbua ngojen mpate bp
tatizo ni kwanba niliapply na risiti nnayo.Pole sana mkuu
Mimi nimeandikiwa you have completed 0 of 5Haiwezekani watu wengi waandijiwe hawajaomba wakati wanakumbukumbu zao na risiti ya EMS ya posta. Yawezekana kuna kasoro.
Mkuu nine Ku PM lakini upo kimyaLkn sometimes hawa ni wajinga mtu anawezaje kuingia kwenge system yao bila kuomba hebu na wengine jaribuni kuingia mlete feedback hapa