Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Unafki mkuu hakuna kingine...Na wewe umeshajiuliza kwa nini sasa hivi wamebadilika?
Umesahau ule uwanja wa BAKWATA pale Chang'ombeTumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
Pspf & Nssf (yupo wote tulipaza sauti)
Tanesco (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
Mods naomba huu uzi ujitegemee I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Hakuna unafiki hapa!Unafki mkuu hakuna kingine...
Kwa hiyo fromnowhere wamebadilika sababu ya unafiki?nakushauri hata kwenye mahusiano ukiona mwenzio amebadilika usihitimishe kwa kumlaumu inawezekana wewe ndio umebadilika ila kwa sababu ya ubinafs ukahisi yeye ndio tatizo kumbe mabadiliko yako ndio yamembadilishaUnafki mkuu hakuna kingine...
Na wewe umeshajiuliza kwa nini sasa hivi wamebadilika?
Ushahidi na uthibitisho unapatikana ama kukosekana baada ya mahojiano.tusubiri vyombo vimalize kazi yakeYou have any evidence?
Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from meKumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?
Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.
Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.
Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
Pspf & Nssf (yupo wote tulipaza sauti)
Tanesco (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
Mods naomba huu uzi ujitegemee I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Duuh post zote wewe ni mtu wakutetea tu. kuna kitu hapoKumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?
Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.
Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.
Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Je, kuna uhusiano gani kati ya madawa ya kulevya na ukosefu wa maji nchini? au na foleni ndefu za barabarani? au na kupanda kwa gharama za umeme au na ukosefu wa chakula nchini? over!!Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.