Kama yupi kiongozi wa kweli wananchi wanajipendekeza kwake?Kiongozi wa kweli ni yule ambaye wananchi WANAJIPENDEKEZA KWAKE HUKU WAKIMSHAWISHI AWAONGOZE.
Kiongozi wa kubumba ni yule anayetumia nguvu kubwa kushawishi,kuhonga na kulaghai ili WAMCHAGUE YEYE AWAONGOZE.
Hayo tumeshayaona mtu alitumia miaka 10 kwa mtandao wake kuhakikisha anachaguliwa kuongoza. Lakini tulichoshuhudia nikuwa hakuwa anajua anataka kazi hiyo ili awafanyie nini waliomchagua zaidi ya kuwaambia hajui kwa nini wao ni maskini.
Tunasubiri kwa hamu kumsikiliza Rais Mtarajiwa.
Kama yupi kiongozi wa kweli wananchi wanajipendekeza kwake?
Anakuja kuongea nini?? Tumemchoka.
Eti rais mtarajiwa, hahahaaaaa , wa wapi hiyoo???? Labda rais mtarajiwa wa moshono huko.kwa hamu? pole sana.