Kuhusu Laptop Dell vostro

Kuhusu Laptop Dell vostro

kalumuna

Member
Joined
May 18, 2011
Posts
62
Reaction score
4
poleni na mihangaiko ya hapa na pale wakuu, naomba kujua kama naweza pata laptop aina ya dell Vostro model yeyote hapa bongo, hata used maana madukani nilizitafuta sikuzipata kabisa! Nawasilisha
 
hi kalumuna,mimi niko mikoani lakini kwa ku google nimeona duka moja linaitwa capricon technologies liko dar mtaa wa jamhuri next to ten to ten supermarket hiyo lap iko listed na bei yake tembelea www.capricontechnology.com kila la heri
 
poleni na mihangaiko ya hapa na pale wakuu, naomba kujua kama naweza pata laptop aina ya dell Vostro model yeyote hapa bongo, hata used maana madukani nilizitafuta sikuzipata kabisa! Nawasilisha

Del vostro 3550 15.6" 4GB RAM, 320 HDD ex-stock nitafute after 7th jan 2013 tuko holiday.

Tel: +255222180455
 
Back
Top Bottom