Kuhusu kuwasugua miguu wake zetu

Kuhusu kuwasugua miguu wake zetu

state agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
1,764
Reaction score
2,515
Naona hiii ya kushinda masaloon eti wanasuguliwa miguu limekuwa jipu kubwa sana na tunakoelekea litaleta kasheshe sasa wanaume wenzangu tufanye sisi :

Nunua nail cut/kiwembe

Jiwe maalumu

Spirit

Box la colours

Dryer

Na madawa ya nywere


Weke maji kisha msugue vizuri


Najua weekend zimekuwa za hawa watu kushinda salooni na kutufanya tuwe walinda milango


FB_IMG_1562349201203.jpeg
 
Alafu Wasugua miguu na watengeneza kucha wanawak Sana

Ova
 
Mambo ya kishenzi ayo acha wamusugue vyote mimi avinihusu.
 
Akina mama nao wanataka kunyegeka[emoji23]
IMG_20190714_085740_504.jpeg
 
Back
Top Bottom