Habari zenu wanajukwaa, Nawapongeza kwa ushauri chanya ambao mmekuwa mkitoa katika jukwaa hili.Nilitaka kujua kama kwa mfumo wa elimu yetu Tanzania unaruhusu mtu kusoma bachelor degree zaidi ya moja, kwa muda sawa (simultaneously). Mfano uko chuo fulani unaendelea na masomo na kujisali kusoma course nyingine ambayo inaweza kuwa inatolewa open University.Nawasilisha