Kuhusu kumchagua Rais

Kuhusu kumchagua Rais

kawogo

New Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Je ni kweli kuwa Unaweza kumchagua rahisi popote hata nje ya kituo ulichojiandikishia? Naomba mnisaidie
 
hili watu wengi hawajui , ingawa nimeambiwa unaweza isipokuwa mbunge na Diwan huwezi
 
kitu kama hicho hakuna. itakubidi uende kwenye kituo chako ulichojiandikishia.
 
Umeambiwa na nani ?....Sio kweli kabisa !......

Tume wameshalifafanua hili mara nyingi tu.....kwamba BVR zimetumika kwenye uandikishaji pekee na taratibu nyingine za kupiga kura ni kama ilivyokuwa 2010.....Utamchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo chako cha kuandikisha kura tu !

hili watu wengi hawajui , ingawa nimeambiwa unaweza isipokuwa mbunge na Diwan huwezi
 
Hapana...huwezi !

Utamchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo chako ulichojiandikisha tu.....ila kama uliweza kuhamisha taarifa zako wakati, basi utaweza kufanya hivyo kwenye kituo ambacho taarifa zako zilihamishiwa.....

Je ni kweli kuwa Unaweza kumchagua rahisi popote hata nje ya kotuo ulichojiandikishia? Naomba mnisaidie
 
Back
Top Bottom