Kivipi mkuuUS hawezi kutaka umoja katika Ulaya, mfano Ulaya wana mpango wao wa kuanzisha jeshi lake tofauti na NATO mpango ambao US anaupinga, kwa kifupi umoja wa Ulaya ukiimarika ni hatari kwa US
Ardhi ipi mkuu.ardhi ya mungu.ni katika ardhi ya waislamu
Sasa naamini walimu wana kazi kubwaArdhi ipi mkuu.ardhi ya mungu.
Hadi hapo hujaelewa, basi wewe inahitaji tuitionKivipi mkuu
Tabu yenu mnalishwa plopaganda toka madrasa mnakua nazoKila mchambuzi ana muelekeo wake, wachambuzi wa Mtanzania ni tofauti na Uhuru(magazeti) na wote ni wataalamu ila nasi tunachambua matukio kwa muelekeo wa Kiislamu
Wewe umelishwa toka wapi mpaka umekuwa nayo?Tabu yenu mnalishwa plopaganda toka madrasa mnakua nazo