kuhusu chuo mimi ni mwanafunzi nimemaliza diploma na G.P.A ya 4.6 ya information and technology nimeapply vyuo viwili wrote wajanipa majibu ukiuliza wanasema tatizo T.C.U kivipi na chuo chetu kilikuwa hakipo chini ya TCU kipo chini ya nacte ndiyo wakatupa A.V.N