Kuhusu kuchaguliwa diploma

mayestee

Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
97
Reaction score
32
nacte unatumia mfumo gan wa kuchagua wanafunzi wa kujiunga na diploma coz unakuta kama sasa HV wameshaanza kuchagua halaf mweny div 2 anaachwa lkn mwny div3 anachukuliwa na ukiangalia wanasema angalau MTU awe na 'c' kwny masomo flan lkn mwngne mpka ana'F' lakini anachukuliwa
 
Ndugu yangu wewe usihangaike na kutafuta vigezo vya NACTE. Hapa tz ni bora liende tu hakuna umakini wowote. Kuna bwana mdogo kanionesha profile yake hadi nimeshangaa. Mtu wa mwisho kuchaguliwa anazidiwa ufaulu, aliyechukuliwa ameapply tar 27 mwezi huu na aliyeachwa ameapply tar 26 mwezi huu. Mwaka wao wa kidato cha nne wote ni 2013. Hawa NACTE ndiyo waliojigamba eti wameamua kuweka mfumo wa udahili wa pamoja kwa sababu vyuo vilikuwa vinapendelea kumbe wao ndiyo bure kabisa.
 
Huna point kaa kimia ,, tu wewe hueleweki kwanza kaa fikiria nini unandika nini
 
mjomba nna div 1 ya point 14 lkn had sa HV cjachaguliwa ndo mana nimeamua kuuliza coz mweny div 3 anachukuliwa ila mm bado#gachacha
 
Elimu ya tz haina mfumo permanent so elimu ya tz ni chanzo kikubwa kuhalibu maisha ya watu, watu kibao wanamaliza chuo wanabaki kitaa michongo hakuna, tz ingekuewa mbele watu kibao me Nisha wapiga shaba.
za vichwa wanazingua Sana elimu yetu me nahasira kinyama nipate wapi gani niwafumue kuku Hawa wanachezea elimu yute kila mda ni kubadilisha mifumo
 
Samahani kwa kuingiza hili kwenye thread hii ' samahani naweza pata msaada wa maelekezo namna ya kui recover account ya nacte maana mdogo wangu amesahau account yake ila anakumbuka password" aksante
 
Samahani kwa kuingiza hili kwenye thread hii ' samahani naweza pata msaada wa maelekezo namna ya kui recover account ya nacte maana mdogo wangu amesahau account yake ila anakumbuka password" aksante
kama anakumbuka pasword mbna simpo sana aseee tumia index number ya form ku log in
 
sasa kaka pale kinachohitajika kama anakumbuka password ni vzur zaid lkn kwnye username inatakiwa namba ya mtihani mfano lbd S3265/0070/2014 sasa yeye aandike no yake ya. mtihani kama hapo juu AF mwsho /mwaka aliomaliza
kisha aweke password ikigoma wapigie nacte
 
Samahani kwa kuingiza hili kwenye thread hii ' samahani naweza pata msaada wa maelekezo namna ya kui recover account ya nacte maana mdogo wangu amesahau account yake ila anakumbuka password" aksante
Ww muongo rekebisha maelezo amesahau account but anakumbuka pasward ndo nini? Hapo cha kusaidiwa ni nini coz anakumbuka pasward alog in atapata account yake au kasahau index no na si rahisi kusahau index no labda kama alifanyiwa paper
 
Yaani humu jf ni shida watu wanaingiza topic juu ya topic mambo ya selection fungua account yako utaona kila kitu second inatoka kimya kimya
Nimeuliza kwa kutaka kujua Tu... Angalia post ya " shebbydo" hapo juu... Na usdhan kila anaye changia humu Anahusika na hzo diploma, mm nko kazin mkuu, Kama hujui uwe unanyamaza na ujaribu kuwa na busara katk maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…