Kuhusu kubadili course

kame

New Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je inawezekana kufanya hivyo????
 
Kama hivyo course ipo pia hapo SUA na unakidhi vigezo basi nadhani inawezekana.

Enzi nasoma mimi iliwezekana, sijui kwa sasa..
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je inawezekana kufanya hivyo????
Ndio inawezekana,kikubwa iyo course iwe na na nafasi yakuchukua watu wapya kwa maana ya wanaotaka kuhamia,pia unatakiwa uwahi mapema chuo ili kufanya maombi ya uhmisho,
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je inawezekana kufanya hivyo????
Mimi nakupa ushauri kama kaka ako...

Unachotaka kufanya utakuja kujuta baada ya miaka mitatu!!

Unless kama una mchongo mahali go ahead otherwise jiandae kuisoma digitali ukimaliza chuo.
 
Animal health ina soko kuliko hiyo biotechnology ya Sua labda ingekua lab tech ya hospital usibadirishe.
Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je inawezekana kufanya hivyo????
 
Dogo kapige mifugo ule hela au uwezi maisha ya shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…