Kuhusu ku-certify vyeti

Yawezekana huo ndio utaratibu mpya kwa siku hizi au wa mahakama husika.
Mimi nimecertify vyeti kama mara mbili na leseni ya biashara mara moja, utaratibu niliousema ndio uliotumika.
Thanks

Mkuu kama kuna mtu ana certify cheti bila kuona original huyo hana maadili ya kazi na hafai.

Sent using Jamii Forums mobile app

Napata ukakasi, nilidhani vyeti vya olevel na alevel vinakaa kwenye academic qualification halafu transcripts ndio inakaa kwenye other attachements
Upo sahihi mkuu vyeti vya Olevel,Alevel na chuo vinakaa kwenye acaademic qualification alafu hizo transcript,birth certificates na vengine vinakaa kwenye other attachements

mm living ya 4m4 ilikosewa tare ya kuzaliwa tu nikaenda kuapa walitaka 10,000 nikawachimba biti mm ni police wakanifanyia bure

Ze Heby UNAMPOTOSHA MWENZAKO. CHETI CHA A LEVEL, O LEVEL NA CHUO VINAKAA KWENYE ACADEMIC QUALIFICATIONS

PICHA INAKAA KWENYE WALL

CV, BIRTH CERT, TRANSCRIPT NA DOCS ZNGNE ZNAKAA KWENYE OTHER ATTACHMENTS
Upo sahihi kasoro kwenye cv. Cv hutakiwi kuattach sababu umeshajaza ndo maana kuna sehemu ya kuprint cv

Sent using Jamii Forums mobile app

[quote uid=314633 name="masafi" post=23191128]Upo sahihi kasoro kwenye cv. Cv hutakiwi kuattach sababu umeshajaza ndo maana kuna sehemu ya kuprint cv

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Upo sawasawa mkuu wengine wanakurupuka hawasomi vipengele kwa makini na mwisho wanalalamika hatujakuwa selected ukiangalia kumbe tatizo ni jazba ya kufanya mambo upesi bila umakini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Napata ukakasi, nilidhani vyeti vya olevel na alevel vinakaa kwenye academic qualification halafu transcripts ndio inakaa kwenye other attachements
Mimi nimeweka hapo hapo kwenye qualifications na nimeshaomba kazi nikaitwa kwenye interview japo sikwenda.

Wadau hivi passport tunaweka pale kwenye other attachment au kuna mahali pake kwenye portal?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…