Kwanza haya makampuni ni ya vigogo.Mfano mwanzoni vodacom mwenyekiti wa bodi alikuwa Msekwa na mmiliki Rostam Azizi.Kwamfano huo hizi pesa tutakazo katwa zitafika kwa walengwa? Makampuni haya yameidhoofisha TTCL.Mswada wa bunge kupitisha hoja hii iliungwa mkono na wabunge wa CCm kwa kula zao za ndio,wingi wao unatuletea majanga. Kama hata wapinzani wangegoma haisaidii manake ni wachache aidha JK alisema anataka kutengua sheria hiyo lakini wakuu wa taasisi hizo wamweleze mbadala wa kupata fedha hizo(kodi) kwa sababu tayari zimeingizwa kwenye bajeti ya nchi.Inawezekana tukalaumu ngazi za juu lkn hata walioaznza mchakato wa maandalizi nao walaaniwe.Jaribu kubuni vyanzo vingine km kila nyumba iliyojengwa tz hasa dsm bila kujali imepewa kiwanja cha kupimwa au iko mabondeni ichangie mia tano kwa mwezi nkNimejaribu ku connect dots nikakumbuka statistics alizotoa wakili mabere marando alipokutana na waandishi wa habari kuhusiana na kesi ya rwakatare aligusia pia suala la makampuni ya simu Kenya kulipa $ 17m, Rwanda $7m and tz < $1m. Sikuamini bt kuna sababu kuamini sasa kwamba makampuni ya simu hapa tz yana lobbying system ya nguvu sana kwani suala la simcard lilipita kwa nguvu zote bungeni. Kinachofanyika ni kuendeleza misamaa ya kodi huku mzigo huo akibebeshwa mwananchi. So japo kodi zinazotokana na makampuni ya simu zitaongezeka haitamaanisha zinalipwa na kampuni hizo bali mlala hoi.
Lakini vyovyote vile itakavyokua hakatwi mtu hapa
Kwanza haya makampuni ni
ya vigogo.Mfano mwanzoni vodacom mwenyekiti wa bodi alikuwa Msekwa na
mmiliki Rostam Azizi.Kwamfano huo hizi pesa tutakazo katwa zitafika kwa
walengwa? Makampuni haya yameidhoofisha TTCL.Mswada wa bunge kupitisha
hoja hii iliungwa mkono na wabunge wa CCm kwa kula zao za ndio,wingi wao
unatuletea majanga. Kama hata wapinzani wangegoma haisaidii manake ni
wachache aidha JK alisema anataka kutengua sheria hiyo lakini wakuu wa
taasisi hizo wamweleze mbadala wa kupata fedha hizo(kodi) kwa sababu
tayari zimeingizwa kwenye bajeti ya nchi.Inawezekana tukalaumu ngazi za
juu lkn hata walioaznza mchakato wa maandalizi nao walaaniwe.Jaribu
kubuni vyanzo vingine km kila nyumba iliyojengwa tz hasa dsm bila kujali
imepewa kiwanja cha kupimwa au iko mabondeni ichangie mia tano kwa
mwezi nk
Nimejaribu ku connect dots nikakumbuka statistics alizotoa wakili Mabere Marando alipokutana na waandishi wa habari kuhusiana na kesi ya Rwakatare aligusia pia suala la makampuni ya simu Kenya kulipa $ 17m, Rwanda $7m and tz < $1m.
Sikuamini bt kuna sababu kuamini sasa kwamba makampuni ya simu hapa Tz yana lobbying system ya nguvu sana kwani suala la simcard lilipita kwa nguvu zote bungeni.
Kinachofanyika ni kuendeleza misamaha ya kodi huku mzigo huo akibebeshwa mwananchi. So japo kodi zinazotokana na makampuni ya simu zitaongezeka haitamaanisha zinalipwa na kampuni hizo bali mlala hoi.
Lakini vyovyote vile itakavyokua hakatwi mtu hapa.
tumieni akili kufikiri,kampuni ya simu ikilipa kodi hiyo pesa inatoka kwa nani kama sio wewe mteja. Jamaa zenu walipotaja figure za malipo ya kodi Ruanda na Kenya mkaanza kuilaumu serikali haikusanyi kodi,sasa inakusanya mnalia. ni upumbavu umewazidi. kama mleta mada anamquote Marando huyu mpiga debe tu za siasa,taaluma yake ni wakili sasa yeye na uchumi wapi kwa wapi? na ndio maana amepolitic hizo figure bila kufanya utafiti. mkiambiwa andamaneni hao kama maguruwe yaliyofunguliwa zizini,mkiambiwa Ruanda wanakusanya kodi billion kadhaa kutoka makampuni ya simu hamjiulizi fedha wanayolipa makampuni hayo ni zao au anatozwa mtumiaji? mnapiga kelele ppppppp ppppppp sasa cha moto mnakiona,umelipika sasa ulinywe hata kama chungu