Hahahah, ila mabaharia wapo tatizo watoto wakike wanataka ready made.Hao wanataka Watu wenye pesa ila kusema hakuna wa kuwaoa sio kweli.Pia siku hizi kuna simu na social network so mtongozano ni rahisi sana
Yaani hilo umelipata katika hili la 'kisuli suli' ama ulifanya ugunduzi upi ukajua kwamba watanzania wengi wajinga wajinga na wangapi wajanja wajanja?nimepata somo moja tu, "watanzania wengi ni wajinga-wajinga"
Nakuelewaga sana ila bas tuOngeza sauti kidogo.
Waaambie hao vinukaji wanashida kama niniHao wanataka Watu wenye pesa ila kusema hakuna wa kuwaoa sio kweli.Pia siku hizi kuna simu na social network so mtongozano ni rahisi sana
Kweli mkuu,hakuna anayetaka kuolewa akaanze kwa kupikia kuniUkiangalia kwa jicho la tatu, utagundua wale wanawake wanataka kuolewa na mtu mwenye gari, nyumba, kampuni
swadata hapo umenenaPale ambapo baba zao watabadili mahari badala ya n'gombe wawili ni njiwa wawili tutaoa