Kuhusu kazi za ulinzi Zanzibar

Kuhusu kazi za ulinzi Zanzibar

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
138
Reaction score
227
Mimi nasikia tu kuwa Zanzibar Kuna kazi nyingi za ulinzi, kampuni nyingi nimewatafuta ila vigezo vyao wanataka mtu alopitia mafunzo ya mgambo au jkt.
Sasa ikiwa Kuna mtu yoyote anaijua kampuni yoyote inayochukua watu ambao hawajapitia hayo mafunzo aniambie maana Hali ni mbaya.
Wengine hatujapitia mafunzo ila tuko vizuri sana...
Pia wengine wanasema Huwa Kuna kazi nyingi za part time kule bandarini za kulipwa kwa siku nimechunguza sana ila sijapata...bkama Kuna mtu humu ana connection ya hizo kazi anitonye basi.... Takulipa nikipata malipo ila kama unataka malipo ya kabla basi sahau
Ni hayo tu wadau
 
NAHITAJI ASKARI 15 KWA AJILI YA KAZI YA ULINZI KIKE NA KIUME. UWE NA KITAMBULISHO AU NAMBA YA NIDA. UWE TAYARI KUINGIA KWENYE MAFUNZO YA SIKU 14, NUNUA TRAKI YA BLU UNAVOKUJA. HAKIKISHA UNA PESA YA FINGER PRINT, NA MEDICAL MSHAHARA 300,000 UKIJUMUISHA PAYE NA ZSSF. KAZI NI ZANZIBAR. TUTUMIE PICHA YAKO WHATSAP KISHA PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI. HAKUNA MALIPO YANAYOHITAJIKA KUPATA KAZI. 0683421913 elimu kuanzia kidato cha nne
 
nafasi zipo
 
Back
Top Bottom