G Gibson Isaya New Member Joined Apr 26, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Apr 26, 2014 #1 Mwanamke mwenye jinsia zote mbili, je anaweza kuzalisha ?
Mom Fay JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 1,059 Reaction score 316 Apr 26, 2014 #2 picha tafadhali
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Apr 26, 2014 #3 Ana jinsia mbili za kike?
alohadm JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 360 Reaction score 157 Apr 26, 2014 #4 kuzaa anaweza ila anatakiwa ajue ni ipi inafanya kazi vizuri.
SANGA ONE Senior Member Joined Jul 7, 2012 Posts 125 Reaction score 29 Apr 26, 2014 #5 ninaijua jinsia ya pale kati, vipi hiyo jinsia nyingine imekaa wapi?
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,437 Reaction score 4,828 Apr 26, 2014 #6 TANMO said: Ana jinsia mbili za kike? Click to expand... ...nami nilifikiri hivyo...au labda nimemuelewa visivyo
TANMO said: Ana jinsia mbili za kike? Click to expand... ...nami nilifikiri hivyo...au labda nimemuelewa visivyo
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,437 Reaction score 4,828 Apr 26, 2014 #7 Ya kike na ya kiume au za kike zote?!
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Apr 26, 2014 #8 Hakuna ukweli wowote juu hawa viumbe! Ni stori za kwenye vitabu na photo shop tu! Au nimvue hako kaslaidi kake mumuone alivyopendeza? Teh teh teh!
Hakuna ukweli wowote juu hawa viumbe! Ni stori za kwenye vitabu na photo shop tu! Au nimvue hako kaslaidi kake mumuone alivyopendeza? Teh teh teh!
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Apr 26, 2014 #9 hzo stori tu. sema sometimes inaweza kutokea kinembe kikawa kikubwa kwenye uke hivyo kuleta mwonekano kama wa penis
hzo stori tu. sema sometimes inaweza kutokea kinembe kikawa kikubwa kwenye uke hivyo kuleta mwonekano kama wa penis
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Apr 26, 2014 #10 ManMoker said: hzo stori tu. sema sometimes inaweza kutokea kinembe kikawa kikubwa kwenye uke hivyo kuleta mwonekano kama wa penis Click to expand... Kimbembe gani kinachotokea na kuifanya mbunye iwe kama libolo?
ManMoker said: hzo stori tu. sema sometimes inaweza kutokea kinembe kikawa kikubwa kwenye uke hivyo kuleta mwonekano kama wa penis Click to expand... Kimbembe gani kinachotokea na kuifanya mbunye iwe kama libolo?
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Apr 26, 2014 #11 alohadm said: kuzaa anaweza ila anatakiwa ajue ni ipi inafanya kazi vizuri. Click to expand... Ulimuona wapi mtu mwenyejinsia hizo?
alohadm said: kuzaa anaweza ila anatakiwa ajue ni ipi inafanya kazi vizuri. Click to expand... Ulimuona wapi mtu mwenyejinsia hizo?
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Apr 26, 2014 #12 SANGA ONE said: ninaijua jinsia ya pale kati, vipi hiyo jinsia nyingine imekaa wapi? Click to expand... Kama vipi nikutumie picha piemo uone ni vipi jinsia hizo zinavyokaa! Ila utambue in real world watu hao hawapo! Hapa siieki kamwe nimechoka kula ban mwee!
SANGA ONE said: ninaijua jinsia ya pale kati, vipi hiyo jinsia nyingine imekaa wapi? Click to expand... Kama vipi nikutumie picha piemo uone ni vipi jinsia hizo zinavyokaa! Ila utambue in real world watu hao hawapo! Hapa siieki kamwe nimechoka kula ban mwee!
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 736 Apr 26, 2014 #13 They are there but u cannot see him or her b7 its very confidential
S Shuaibu yahaya Member Joined Jan 8, 2014 Posts 93 Reaction score 32 Apr 26, 2014 #14 scientist washa proove kuwa hawa viumbe wapo.so unayesema hawapo una uhakika gan?