Kuhusu hii website ya KAYMU

Kuhusu hii website ya KAYMU

mpitanjia2005

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
40
Reaction score
5
Habari wanajamii,
Kuna huu mtandandao wa Online shopping Tanzania | Buy & Sell online on Kaymu | #1 Marketplace nataka kununua simu, ila hawa jamaa namba zao za simu mbona ni za Nigeria??? japokuwa clouds fm wanautangaza je huu mtandao kuna mtu yoyote amenunua kitu akapata bila wasiwasi?
Maana namba zao za mawasiliano ndio zimeniweka wasiwasi....
Pls kama kuna mtu ameshanunua kitu au vitu anipe feedback.
Weekend njema....
 
Mh! Yaani hata mie mwenyewe nilikuwa nawaza kununua simu kwa hawa jamaa sasa wakati nawaza kupata mawazo ya wanajf juu ya uhakika wa huduma za hawa jamaa.
Ila sasa wewe hapo naona tayari umenialert.
Tungoje hoja za watu wengine
 
Back
Top Bottom