Wakuu ningependa kufaham kuhusu heslb, ni lini watatoa majina ya wataopewa mkopo, na ni wapi naweza kuyapata,
msaada tafadhali.
Mbona washatoa tayari, ukitaka kujua asilimia ngapi umepata tembelea kwenye kikundi chochote cha vikoba mtaani kwenu.
ndo tatizo la watanzania muda wote wao masiala tu.
Siku ya kutoa majina haijulikani na utayapata hapa Higher Education Students' Loans Board -HESLB
Vitu vya kujiuliza ni hivi hapa
Umechaua course ambayo ni priority au non priority?
Umesoma private school O Level au Advance?
Umechagua course za afya au ualimu?
Umefiwa na mzazi mmoja au wote?
Hizi ni baadhi ya factors zinazodetermine asilimia ya mkopo utakaopewa
kwa sasa wanafunz wenye sifa za kupata mkopo .....hawapat......na kama wakipata wanapata wachache.......sijui tatizo liko wap????
kwa sasa wanafunz wenye sifa za kupata mkopo .....hawapat......na kama wakipata wanapata wachache.......sijui tatizo liko wap????
Wakuu ningependa kufaham kuhusu heslb, ni lini watatoa majina ya wataopewa mkopo, na ni wapi naweza kuyapata,
msaada tafadhali.
Answers
1. PRIORITY
2.Private school both alvl and olvl
3.Neither
4.Both are alive
Hapo mkopo ngapi ?
🙂
Answers
1. PRIORITY
2.Private school both alvl and olvl
3.Neither
4.Both are alive
Hapo mkopo ngapi ?
🙂