Battery kwenye gari ndiyo chanzo cha umeme ambao hutumika kuzungusha starter kisha engine ikiishawaka kuna kitu kinaitwa alternator ndicho kinachotumika kufua umeme na kuusambaza kwenye gari kila penye kuhitaji kama taa,a/c radio etc..ndo maana gari ikiwa off radio au taa zikawa on baada ya muda(inategemea na uhai was betri)gari inakataa kuwaka coz betri ilikuwa inatumika direct,kwa maneno mengine matumizi ya battery kwenye gari yanaishia pale machine inapokuwa imewaka sii zaidi ya hapo..zaidi watakuja wengine kujazilizia nyama.@Rabii99