Ahsante kwa kunipa hongera.....kuna dhuluma inatendeka pale.Wahusika chunguzeni kwanza kama niko sahihi and then actUmepanda ndege hongera. Watafanyia kazi kama watapita humu
HihihiWacha weeeeee.,,.,,So umeipanda kabisa ndege kabisa..,..Jamaaaaniiiiiii....Una hela mwenyewe
Bila picha hapanogi, kina tomaso tupo wa kumwaga...Leo thu at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa ni toe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
Acha fujo mkuu..Wacha weeeeee.,,.,,So umeipanda kabisa ndege kabisa..,..Jamaaaaniiiiiii....Una hela mwenyewe
Njaa tu,wanakucheki kama hujui taratibu wanachukua wao..Leo thu at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa ni toe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
Wacha weeeeee.,,.,,So umeipanda kabisa ndege kabisa..,..Jamaaaaniiiiiii....Una hela mwenyewe
We ulitaka waiache? Ungerud chin kumpa mtu ka ulkua nae..pia wale wez hata mafuta yalozid gram 300 iv wanakatazaLeo thu at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa ni toe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
Hivi ni chupa moja au chupa isiozidi ujazo fulani?Leo Thursday at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa nitoe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
Upo sahihi kabisa.Way forward iwe nini sasa.....????Njaa tu,wanakucheki kama hujui taratibu wanachukua wao..
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage
Kilichotokea walinizuia nisipande ndege nikiwa na perfume.Kwa vile nazijuwa taratibu za usafirishaji wa DG yaani dangerous Goods walishushuka wakaniachia.Sasa unaacha kufafanua kilichotokea ili kama kina faida kifaidishe wengine pia wewe unakimbilia kusema wahusika wafuatilie na kufanyia kazi.
Nilipata kitiVipi kiti ulipata mkuu,maana naona walikuchelewesha hata kuingia...
You are right..... isiyozidi ujazo fulani......tunazotumia kwa asilimia kubwa zinakidhi vigezoHivi ni chupa moja au chupa isiozidi ujazo fulani?