thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 826
- 1,880
Umepata
Umepata
Hivi unaweza kuteka ndege kwa kutumia perfume??!!!
HahahaaaSio tu perfume hata maembe
Hao jamaa ni wezi sana hata precission walikuwa hako kamchezo sana tuLeo Thursday at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa nitoe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
Huo utaratibu wao sijauelewa, walipaswa watupe darasa ili tusisumbuane
Wacha weeeeee.,,.,,So umeipanda kabisa ndege kabisa..,..Jamaaaaniiiiiii....Una hela mwenyewe
Leo Thursday at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa nitoe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.