Kuhusu Fast Jet kuzuia perfume kwenye mizigo ya abiria

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,500
1,376
Leo Thursday at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa nitoe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.

Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.

Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
 
Leo thu at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa ni toe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.

Bila picha hapanogi, kina tomaso tupo wa kumwaga...
 
Leo thu at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa ni toe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
Njaa tu,wanakucheki kama hujui taratibu wanachukua wao..
 
Sasa unaacha kufafanua kilichotokea ili kama kina faida kifaidishe wengine pia wewe unakimbilia kusema wahusika wafuatilie na kufanyia kazi.
 
Leo thu at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa ni toe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.
Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
We ulitaka waiache? Ungerud chin kumpa mtu ka ulkua nae..pia wale wez hata mafuta yalozid gram 300 iv wanakataza
 
Vipi kiti ulipata mkuu,maana naona walikuchelewesha hata kuingia...
 
Leo Thursday at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa nitoe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.

Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye counter.

Chupa moja inaruhusiwa kama accompanied baggage.
Mamlaka husika fanyeni uchunguzi pse
Hivi ni chupa moja au chupa isiozidi ujazo fulani?
 
Sasa unaacha kufafanua kilichotokea ili kama kina faida kifaidishe wengine pia wewe unakimbilia kusema wahusika wafuatilie na kufanyia kazi.
Kilichotokea walinizuia nisipande ndege nikiwa na perfume.Kwa vile nazijuwa taratibu za usafirishaji wa DG yaani dangerous Goods walishushuka wakaniachia.
Wengine wasiojuwa huwa wanawa achia vitu pale.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom