hizo data base ni geresha tu Kama unajuana na vibopa huko utumishi unaitwa kimyakimya.Hiv utaratibu wa kuitwa kazini kwa wale walio kwenye database ya utumishi ni mpaka tangazo la ajira litoke au pale nafasi itakapopatikana ndo watu wanaitwa kazini ..kwa mnaoelewa naomben msaada
Duuhhizo data base ni geresha tu Kama unajuana na vibopa huko utumishi unaitwa kimyakimya.
vinginevyo utaendelea kujifariji tu upo kwenye data base ila mimi naona si kweli.
Kwahyo mkuu labda kama ikitokea wanaita watu kwa njia ile ile ya tangazo au inakuajehizo data base ni geresha tu Kama unajuana na vibopa huko utumishi unaitwa kimyakimya.
vinginevyo utaendelea kujifariji tu upo kwenye data base ila mimi naona si kweli.
Hawaiti mpaka watoe tangazo la kazi, ukiomba nao wanakuita bila hiyana...Hiv utaratibu wa kuitwa kazini kwa wale walio kwenye database ya utumishi ni mpaka tangazo la ajira litoke au pale nafasi itakapopatikana ndo watu wanaitwa kazini ..kwa mnaoelewa naomben msaada
Hapana kwa madai yao jina lako likiwa kwenye data base basi agency ya serikali ikitaka watu wa haraka wanachukuliwa wa kwenye data base direct huko unachosubili ww ni kupigiwa simu tu.Kwahyo mkuu labda kama ikitokea wanaita watu kwa njia ile ile ya tangazo au inakuaje
Nina washkaji kibao wametoboa kupitia database na si Taasisi mbaya sana Database iko ila tu kwa sasa imekuwa haina maana tofauti na miaka ya 2017 ajira zilivyofunguliwa.Hapana kwa madai yao jina lako likiwa kwenye data base basi agency ya serikali ikitaka watu wa haraka wanachukuliwa wa kwenye data base direct huko unachosubili ww ni kupigiwa simu tu.
Ila Sijui nini Nani kajamba Nani aliwahi kupigiwa simu directly maana data base inatoa mwanya mkubwa wa watu wenye connection Kubwa ndio anaweza kuitwa hapo.
Kwa sababu Hakuna anayejua kinachoendelea huko nyuma ya pazia na Hakuna mtainiwa anayejijua km yupo kwenye database au lah ni basi tu kujifariji kwingi siku, wiki, mwezi, miaka inaenda.
Mkuu tangu lini utumishi wameanzisha mfumo wa kupigia wasailiwa waliopata kazi simu?Wapo watu wameshaitwa kwa njia hiyo nina taarifa nao. Cha msingi ikitokea Interview utumishi usisite kufanya hata kama hutafanikiwa. Huwa wanapiga simu na kukuambia uende Maktaba complex pale ofisini kwao ukachukue barua na kuripoti kazini kituo X
Mkuu tangu lini utumishi wameanzisha mfumo wa kupigia wasailiwa waliopata kazi simu?
Acha kuhadithiwa..., Otherwise kuwe na urasimu, majina yanatakiwa yawe wazi Kwa njia ambayo muombaji alitumia kuona tangazo la ajiraKawaida sana. Hata mm sikuwekwa kwenye Tangazo nilipigiwa simu/ SMS.
Sio ajira zote huwekwa kwenye Placiment Tab kwenye web yao
Acha kuhadithiwa..., Otherwise kuwe na urasimu, majina yanatakiwa yawe wazi Kwa njia ambayo muombaji alitumia kuona tangazo la ajira
Mzee bado unasaka ajira yawekana, huo ndio utaratibu ukiona vinginevyo ujue Kuna urasimu unatumikaKaa hivyo hivyo.
Acha kuhadithiwa..., Otherwise kuwe na urasimu, majina yanatakiwa yawe wazi Kwa njia ambayo muombaji alitumia kuona tangazo la ajira
Mzee bado unasaka ajira yawekana, huo ndio utaratibu ukiona vinginevyo ujue Kuna urasimu unatumika
Mkuu mm nina Kama 9+ employed na 3yrs mpka now nafanya hapo psrs Sasa huwezi kunielekezaNabukitaka nikupe Ref. Ya mtu ambae alifanya interview nyingine na kazini akaitwa shirika jingine akiwa anajijua amekosa kazi baada ya kutojiona kwenye Placement pia naweza kukupa hadi namba
Mkuu mm nina Kama 9+ employed na 3yrs mpka now nafanya hapo psrs Sasa huwezi kunielekeza
Mzee asubuhi njema, Mimi ubishi siwezi mkuuKumbe ww ndo Hujui kitu sasa hata kama upo kwenye sysytem.
Hakuna watu wanapigiwa simu wakachukue barua wakaripoti kazini na walifanya interview?
Mkuu mm nina Kama 9+ employed na 3yrs mpka now nafanya hapo psrs Sasa huwezi kunielekeza
Mzee asubuhi njema, Mimi ubishi siwezi mkuu