ktika channel zilizoathirika
mojawapo ni clause tv chaajabu kabla mitambo haijazimwa kwenye digital
ilikuwa inaonekana vzr baada ya analojia kuzimwa nayo haionyeshi pia
ninavyomjua ndugu yangu K*B*NDE ingekuwa labda ya mjasiriamali we2 yule
angeidadavua kwenye jahazi bila aibu pia najiuliza hivi imekuwaje hii
ki2 au ndio chakachua nichakachue ndio hadi kwenye digital! karibuni
wana jamvi
ktika channel zilizoathirika mojawapo ni clause tv chaajabu kabla mitambo haijazimwa kwenye digital ilikuwa inaonekana vzr baada ya analojia kuzimwa nayo haionyeshi pia ninavyomjua ndugu yangu K*B*NDE ingekuwa labda ya mjasiriamali we2 yule angeidadavua kwenye jahazi bila aibu pia najiuliza hivi imekuwaje hii ki2 au ndio chakachua nichakachue ndio hadi kwenye digital! karibuni wana jamvi
message sent and deliver nahic ungekuwa hujaelewa ucungejua kama nimekosea kwanza nenda kalale au we ndo mgonjwa kibonde?
teh teh teeh asee jf raha sana..!!!Inaelekea una akili nyingi sana, pole sana!