Kaka kua na aibu kidogo sio unaponda tu fanya research mkuu,now wanafunzi wa kampala kero zao kibao zimetatuliwa na usajili upo Bila shaka yeyote na vijana wanapiga shule wewe piga domo tu mtandaoni wenzako wanasonga mbele,ili jukwaa ukielezea kitu kua na ushahidi kaka,utaumbuka.