Kuhusu BBM

Alii.mohd61

Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
73
Reaction score
18
Habari zenu .....wakuu unajua kuna social network nyingi ambazo tunatumia kwa voice call ..ikiwemo IMO .whatsaap na kadhalika lakini kiupande wangu hii BBM iko poa sana kushinda network nyengine than nahic hata kama network ya internet imeshuka kidogo unaweza kutumia hebu tujaribuni kuitumia than tupeane taarifa ...ili kupunguza gharama za ziada mfano kupiga nje ya nchi ...ila kama kuna applications nyengine ziko poa zaid tujuzane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…