Kawaida bacteria wa UTI ni uchafu ambao hutokana na kinyesi ila sasa uchafu huo huwa hauna madhara pale unapokuw sehemu sasahihi(Normal flora)Habarini wakuu?
Kabla ya kwenda kwenye swali kuu naomba tujiulize maswali haya:
1. Je chakula kilichopo tumboni kina bacteria?
2. Kama zipo ni kivipi aziwezi sababisha maradhi wakati huo?
Chakula hicho hicho kitokapo tumboni huwa kinyesi (m.vi) ambacho ubeba bacteria ambao huweza kukusababishia maradhi mfano kipindupindu, U.T.I n.k)
Swali kuu;
Ni hivi ni kivipi sasa hao bacteria wasisababishe maradhi hayo wakiwa tumboni kabla yakutoka kua kinyesi..?
Naanza kuelewaKawaida bacteria wa UTI ni uchafu ambao hutokana na kinyesi ila sasa uchafu huo huwa hauna madhara pale unapokuw sehemu sasahihi(Normal flora)
Ila tatzo huya pale wanapoamisha (hama) kutoka kwenye haja kubwa na kuingia kwenye njia ya mkojo ndio hao bacteria hufanyika kutokana na uchafu huo
Simple answer kila ktu hakina madhara kikiwa sehemu sasa ila kikihama sehemu kitaleta madhara
Nmekuelew mkuu1.ukila chakula chenye bacteria, kikiwa tumboni kitakuwa na bacteria.
tofauti na kula chakula chenye bacteria, kwa kawaida tumboni huwa kuna bacteria(normal flora) wanaoishi bila kuleta madhara.
2.bacteria hao hawaleti madhara sehemu hio(tumboni) kwa sababu sio wageni katika tumbo Mara nyingi kama sio zote mwili huwa unapambana na kitu kigeni(foreign bodies). Ni mapambano hayo ndio hisababsha madhara kwa mwili wenyewe.
Sasa hawa bacteria (normal flora) wa tumboni, wakihamia sehemu nyingine ya mwili, wanakuwa wageni sehemu hio, hii inapelekea mwili kuanzisha mapambano dhidi yao(inflammatory response).mwisho madhara yanatokea kwa mwili wenyewe