Kuhusu ajira za walimu

Kuhusu ajira za walimu

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
516
Reaction score
815
Wakuu jumapili njema!

Wakuu hizi ajira za walimu zimekaa kisiasa zaidi,kwani ukiangalia toka 2015 mpaka 2020 mkuu wa nchi ameajiri walimu wachache sana.

Kwa upande wangu ninavyoona hizi ajira zisipotelewa wakati huu wa kapeni means before 28 October watakaopata watakuwa wengi kuzidi idadi alioitoa mkuu wa nchi kwani zitaenda kuaribu Sera za viongozi pia mgombea wa ccm atapunza popularity kwa wafaasi wake..na upande wa pili watapata cha kuongea zaidi kwani walimu wengi sana wanazisubili mpaka sasahiv walimu waliomba wamefikia 91234 uku wanaotakiwa ni 13526 ndo ujue kuna hali tete mtaani.

Ila zikitoka wakati wa uchaguzi ukiwa umepita walimu wengi waandike maumivi sana kwani mpaka miaka mingine mitano ijayo.

Pia walimu wa science hizi kazi zinawahusu sana especially physics &math kwa walimu wa sanaa kazi ipo..

Vigezo ambavyo wengi wanasema katika hizi ajira ni 1.ufahuru,2.mkopo,3.uhitaji wa masomo na vigezo visivyojulikana.

Nawatakia jumapili njema wakuu.
 
Kwahyo wahandisi nao waombe ualim wa physics au masomo husika yanayoendana na fani yao ambayo kwenye system yanaonekana
 
Wakuu jumapili njema!

Wakuu hizi ajira za walimu zimekaa kisiasa zaidi,kwani ukiangalia toka 2015 mpaka 2020 mkuu wa nchi ameajiri walimu wachache sana.

Kwa upande wangu ninavyoona hizi ajira zisipotelewa wakati huu wa kapeni means before 28 October watakaopata watakuwa wengi kuzidi idadi alioitoa mkuu wa nchi kwani zitaenda kuaribu Sera za viongozi pia mgombea wa ccm atapunza popularity kwa wafaasi wake..na upande wa pili watapata cha kuongea zaidi kwani walimu wengi sana wanazisubili mpaka sasahiv walimu waliomba wamefikia 91234 uku wanaotakiwa ni 13526 ndo ujue kuna hali tete mtaani.

Ila zikitoka wakati wa uchaguzi ukiwa umepita walimu wengi waandike maumivi sana kwani mpaka miaka mingine mitano ijayo.

Pia walimu wa science hizi kazi zinawahusu sana especially physics &math kwa walimu wa sanaa kazi ipo..

Vigezo ambavyo wengi wanasema katika hizi ajira ni 1.ufahuru,2.mkopo,3.uhitaji wa masomo na vigezo visivyojulikana.

Nawatakia jumapili njema wakuu.
Umejuaje kama walioomba paka sasa wako 91236?
 
Hivi jamani kwenye barua ya maombi ya ajira ya Ualimu kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha kwenye barua?
 
Wakuu jumapili njema!

Wakuu hizi ajira za walimu zimekaa kisiasa zaidi,kwani ukiangalia toka 2015 mpaka 2020 mkuu wa nchi ameajiri walimu wachache sana.

Kwa upande wangu ninavyoona hizi ajira zisipotelewa wakati huu wa kapeni means before 28 October watakaopata watakuwa wengi kuzidi idadi alioitoa mkuu wa nchi kwani zitaenda kuaribu Sera za viongozi pia mgombea wa ccm atapunza popularity kwa wafaasi wake..na upande wa pili watapata cha kuongea zaidi kwani walimu wengi sana wanazisubili mpaka sasahiv walimu waliomba wamefikia 91234 uku wanaotakiwa ni 13526 ndo ujue kuna hali tete mtaani.

Ila zikitoka wakati wa uchaguzi ukiwa umepita walimu wengi waandike maumivi sana kwani mpaka miaka mingine mitano ijayo.

Pia walimu wa science hizi kazi zinawahusu sana especially physics &math kwa walimu wa sanaa kazi ipo..

Vigezo ambavyo wengi wanasema katika hizi ajira ni 1.ufahuru,2.mkopo,3.uhitaji wa masomo na vigezo visivyojulikana.

Nawatakia jumapili njema wakuu.
Mkopo inakuaje???
 
Wana Jf. Kuna ajira hapa kweli? Au waliotuma hawana sifa? Au hawajafikia hao 13,000 wanaowataka?
JamiiForums1275515450.jpg

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom