kuhusu ajira azam media

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,019
Reaction score
10,053
wakuu hivi ni utaratibu gani unatumika kupata ajira Azam media? sijawahi kuona tangazo la kazi la hawa jamaa but cha kushangaza jana nimepanda bus na watu kama kumi wana uniform za Azam media... na wote wana Asili ya kihindi
 
Huu ndio unafiki sasa.mna maanisha hakuna wakristo wanafnya kazi Azam au haya ndo majungu na uchochezi wa kidini???
 
wakuu hivi ni utaratibu gani unatumika kupata ajira Azam media? sijawahi kuona tangazo la kazi la hawa jamaa but cha kushangaza jana nimepanda bus na watu kama kumi wana uniform za Azam media... na wote wana Asili ya kihindi
Walishatangaza kazi mwezi wa nane mm nilibahatisha kupeleka CV tu.
 
Vizuri ungeenda ofisini kwao kuulizia utaratibu.
 
jaribu kwenda kwenye ofisi zao naamini utapata muongozo au kama wana website tembelea utapata pa kuanzia
 
wakuu hivi ni utaratibu gani unatumika kupata ajira Azam media? sijawahi kuona tangazo la kazi la hawa jamaa but cha kushangaza jana nimepanda bus na watu kama kumi wana uniform za Azam media... na wote wana Asili ya kihindi

nimepeleka cv na barua tangu mwezi wa ramadhani ila bado cjaitwa ila kuna watu wameanza kazi mmoja ni rafiki yangu. Ila sijakata tamaa namini nitaitwa siku moja.
 
ungepeleka kati ya January na December kule ni suala la secular employment si dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…